Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?

Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Hata mimi nashangaa waliwezaje? Nasubiria jibu ili na mimi kuna dada mmoja kama yupo single niende nae sawa.
 
Back
Top Bottom