realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
40 😅tudunde mpaka mbili ngapi vile 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
40 😅tudunde mpaka mbili ngapi vile 😂
Aya basi njoo kwangu kuna nafasi ya ajira vacancy post, imebaki moja.😹😹Mimi ndo mnanipeana kwa Kijana makini1
Kumbe watu mnajuana vilivyo humu na bado mnateleza tu kama kambale😳😳Kuna mtu aliniambia nikiwa jf naongea sana ila nyumbani mkimya kama sio mimi vile🤣
Tawile😂40 😅
Kwa huyu uliyem quote sjuiKumbe watu mnajuana vilivyo humu na bado mnateleza tu kama kambale😳😳
🤣🤣🤣Wee ni kijana halafu Maskini unataka demu wa nini? Nenda shule
Mmmh,ngoja tuchangamke aisee..Watu tuko hapa toka enzi Bashite hajaja mjini yupo Kolomije ila hatujawahi hata kuwaza kuonja mbususu ya humu😳Kwa huyu uliyem quote sjui
Ila JF watu wana kulana vizuri sanaaa ndo nlichogundua.
Nina shuhuda za wana nje ya JF ambao wanakiri kula mizoga ya humu kilainiiiii
Duh hatariiMmmh,ngoja tuchangamke aisee..Watu tuko hapa toka enzi Bashite hajaja mjini yupo Kolomije ila hatujawahi hata kuwaza kuonja mbususu ya humu😳
Wewe ni Kijana masikini halafu humu wote ni matajiri tafuta hela kwanzaOhoo kwahiyo mpaka niishi humu muda mrefu ili nipate kuzoeana na watu ndiyo naweza nikaokota kabebe! Sawa.
Eeee usitishwe na jina mrembo mungu yupo siku moja atablesi tutapata hela za kutosha.😹😹Mimi ndo mnanipeana kwa Kijana makini1
😅😅😅 nimecheka kifala eti wote matajiri yeye pekee ndo maskini.Wewe ni Kijana masikini halafu humu wote ni matajiri tafuta hela kwanza
Wew hujawai liwa kumbeKwa huyu uliyem quote sjui
Ila JF watu wana kulana vizuri sanaaa ndo nlichogundua.
Nina shuhuda za wana nje ya JF ambao wanakiri kula mizoga ya humu kilainiiiii
Eee anatushangaa imekuwaje Tayana-wog na mimi sasa tuna watoto🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani huwa wanawaomba hela kiongozi!Kijana masikini pata kwanza hela tukupe mbinu
ngoja nikaze Mimi, nyie msha zoea ku kaziwa tu 😂Sijui nikazie
Leta picha kwa manufaa yetu nipate muongozo kutoka kwaEeee usitishwe na jina mrembo mungu yupo siku moja atablesi tutapata hela za kutosha.
Ukinikubalia natangaza hapa hapa na uzi unafungwa.
Sawa bhana😅😅😅
Sasa mapenz nakuhurumiana wapi na wapi arifu