Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

😅😅😅
Kimsingi atafute hela kwanza hamna masikini humu
Napinga hilo kwa nguvu na akili zangu.
Huu ni uongoo bhana, humu wote sio matajiri hata ma jobless pro max tumo.

Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy

Msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora

Kidumu chama Cha ma jobless pro max
OIG2.uG.jpeg
 
View attachment 3231007
Semaji kama semaji hujalitambisha hapo.
 
View attachment 3231033
Semaji uje kwenye kazi yako huko makutupora
 
Kidumu chamaaaaaaa
 
Back
Top Bottom