Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Weka link
 
Nikatongoze sasa😂.
 
Babu sijakutenga ni shida tu za utafutaji hapa sahivi Nina sku nne napiga deiwaka ya kupiga rangi najifunza kwa braza angu expert mwanangu kwahyo Ata kushika simu ni terrible mzee Ila ndo hvo nimeomba fifty nikatia unyonge
Afu siku hizii unanitenga sana mkuu! 😂😂

Sisi ni ndugu tusifanyiane ivooo ... Makamu usiweke kimya sanaaaa kiasi cha kushindwa kunishtuaaaa


Nimeliaaaa sana kusikia umeombwa afuuu hamsiniiiiii 🥹🥹🥹😭
 
Back
Top Bottom