Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Inategemea na wewe ulivyoenda boss. Halafu pia kama unayo hela unampa kwanini ulalamike?Kwa wale wenye watoto wa kike tuwaonye kuhusu kupiga mizinga wapenzi wao. Yani kuna demu nimemu approach hatuna wiki na wala hatuja sex tayari leo kanipiga mzinga wa 1.5m eti anadaiwa kodi ya nyumba yani imeshakula kwake nimempiga block,
Mwambie ahamie kwako muishi woteKwa wale wenye watoto wa kike tuwaonye kuhusu kupiga mizinga wapenzi wao. Yani kuna demu nimemu approach hatuna wiki na wala hatuja sex tayari leo kanipiga mzinga wa 1.5m eti anadaiwa kodi ya nyumba yani imeshakula kwake nimempiga block,
So dawa ni kufanya juu chini tue na haiba za low quality [emoji23]Hongera sana kaka, Hadi inafikia Hatua unaombwa 1.5m inamaana unauwezo wa kuwa nayo. Hao huwa hawaombi kwa watu wanaojua hawawezi wapa.