Wenye watoto wadogo

Wenye watoto wadogo

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Hivi imewahi kuwatokea mtoto wenu mdogo kamkazania au kumng'ang'ania a stranger ambaye hamjui kamuona tu ila fasta anamkazania hata kumlilia?
 
Ni kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe😂😂😂. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia. Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
 
Ni kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia.
Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wana vituko mno.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wana vituko mno.
Sana yaani. Kuna wengine unakuta ni wakike ila wanapenda wanaume balaa. Yaani hataki kubebwa na mwanamke kabisa ila mkaka weee anapenda awe anamjua awe hamjui yeye full kumganda.
 
Ni kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe😂😂😂. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia.
Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
wa kwangu mtoto wa pili ni mweupe halafu ni wa kiume, anapenda sana watu weusi yaani ukija tu na rangi yako ya udongo yeye ashakukubali yaani
 
Sana yaani. Kuna wengine unakuta ni wakike ila wanapenda wanaume balaa. Yaani hataki kubebwa na mwanamke kabisa ila mkaka weee anapenda awe anamjua awe hamjui yeye full kumganda.
Hiyo ndio Nacher ya maumbile kama umenitice mtoto wa kike anampenda sana baba ake na mtoto wa kiume anampenda sana mama ake yaani haya Mambo Mungu kayaweka toka mtoto anazaliwa tena wanakuwa na wivu hao.
 
Ni kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia. Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
Hako ni kamalaya kabisa Hannah hapo kaandalie maisha mazuri ili watoto wakali wakakubali ili kasije kufa na ngoma

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Shindwa kwa damu ya Yesu.
Kama nakuona ulivyofunga macho kunikemea kwa hilo jina

Kuwa na amani ndugu ni masiala tu hayo .

Hiyo ni psychological issue hususani kwa hizi jinsia zetu , mimi mwenyewe nikiwa mdogo nilitokea kumpenda mdada mtu mzima kiasi cha kuwa na wivu naye , nasimuliwa hivyo japo kwasasa nikimuona hata sikumbuki lolote

Hapa sawa sasa.
 
Back
Top Bottom