Hiyo miguu mbona kama imekaa ndivyo sivyo.?wanaishi hivi.
😂 fimbo ya mbali haiui nyoka.wanaishi hivi.
Hawa Wa Dodoma Watakudanganya Hawa Kila Siku Wapo Mjini DaslamNajua walee WA Dodoma mshapata exp ya kutosha sasaaa hapa kazi tu
Hii Itasaidia Kwa KweliMwambie asisahau AZUMA kwenye bag
Keshoo naenda kumchukulia maji ya mfuniko mwekundu blue na mweusi kwa kuhan na mafuta ya moto kuondoa nuksi na uzinzi...narudi usiku kwa.mwamposa namchukulia maji na anointed oil NDIO upendo wangu uko aendakoMwambie asisahau AZUMA kwenye bag