Wenye wenza wenu mikoani; Nyie mko Dar mnaishije?

Wenye wenza wenu mikoani; Nyie mko Dar mnaishije?

Zama hizi kazi z na ndoa zinapingana sana kwa wanandoa

Zamani ukiamishwa mkoa na mkeo na yeye anahamishiwa mkoa huo
Sasa hivi wanaliwa na maboss zao...

Ni hivi jamaa ajindae tu kisaikolojia mapenzi kupungua na ajitahidi ndani ya miaka mitatu yake ya kazi awe ameshaomba uhamisho kumleta mke mbeya au yeye amfate mke.....ila najua ukiishi mbeya hutataka kuuhama ule mkoa.

Maisha ni cheap sana uwapo mbeya hususani misosi, shughuli za uzalishaji mali mfano kilimo na biashara n.k

Pia wanawake wao wamebarikiwa misambwanda.


So kuhama sio rahisi kiviiiile na lile baridi la kuanzia mwezi wa 5 mwishoni mpk wa tisa sidhani kama atakubali kulala usiku peke yake kitandani.
 
Ijumaa naenda kwa suguye namchukulia mafuta na maji ya uzima yoote HAYA ashindwe mwenyewe kujiinda
Suguye mwenyewe ana internal struggles zake ambazo hataki wananchi wazijue....ukute naye ni muhanga wa hizi mbavu za kushoto
 
Dogo kakutana na mwarobain WA ndoa mmmh Mimi Bora nifumanie sio kunihamisha
 
Watu wako site mapolini hata miezi sita, ukirudi dogo anahisi ni anko kaja kusalimia, we unasema nini?
 
Maisha haya ukitaka muda wote uwe karibu na paka wako jua kuwa utakufa masikini. Muda mwingine unatakiwa uhame ili akili ifunguke uione dunia....kama demu kutomb*wa anaweza kutomb*wa hata kama uko nae karibu.

Ila kama anaelewa maisha basi atakutunzia mali yako
 
Hebu zingatia huu usemi "fimbo ya mbali haiuwi nyoka". Hisia zikija zinaenda kwa mtu wa karibu. Hata muwe walokole namba one ni lazima mmoja achepuke.
 
Back
Top Bottom