Wenye wivu mlie tu, mambo ya Kajala si mchezo

Wenye wivu mlie tu, mambo ya Kajala si mchezo

Tatizo amepanda business kwa first time so unusual to her!!!! Wengine mbona kawaida hiyo?? ila atuambe kwa biashara ipi au za mapedejee??? maana nasikia Clemen wa Wema kashatia ndani.
 
Nakumbka mwanangu first born alisoma Arusha School na nilikuwa namkatia business enzi za ATC!!! Ila iwe heri usikute naye ni punda.
 
hii ndio JF kila mtu matawi ya juu....first class....business class kawaida kwao!!! wakati wengi humu FASTJET ndio imewaokoa[ipo thread hapa inaonyesha hivyo] na ni mabingwa wa kuweka picha zao fb,instagram hata wakiwa wanakula junky KFC achilia mbali wakiwa kwenye flying coffins.

mimi nimepanda sana flights za europe/usa zaidi ya huya Kajala LAKINI SIJAWAHI KUPANDA BUSINESS CLASS i hope one day i will....

Sema tu nawewe ulitaka kutuambia umepanda ndege tena za ulaya lol! Ngoja wengine tusubiri fastjet ije Kigoma nasisi tupate cha kusimulia.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Aisee hongera zake...mana wengine hata fastjet hatujawahi kupanda
 
Tunaomba tu waende huko kiustaarabu maana tumechoka na kashfa za unga na umalaya huko Hongkong,Maccau,Guangzhou.
 
Jamani dada wa watu mpongezeni.

Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.

Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.

Masanja (no relation to Kajala)

Huenda na yeye kalipiwa na ofisi
 
Ntaweka tumboni na huku hivi kwenye mfuko wa nyuma....

Mfuko wanyuma ? Hahaaaaaaaaa !
Nimetafsiri vibaya aisee !

Ntakucheki ngoja tushughulikie kesi ya Jacky cliff !

Mana sidhani kama atarudia ! ==> akigoma kuendelea uta m replace !
 
hii ndio JF kila mtu matawi ya juu....first class....business class kawaida kwao!!! wakati wengi humu FASTJET ndio imewaokoa[ipo thread hapa inaonyesha hivyo] na ni mabingwa wa kuweka picha zao fb,instagram hata wakiwa wanakula junky KFC achilia mbali wakiwa kwenye flying coffins.

mimi nimepanda sana flights za europe/usa zaidi ya huya Kajala LAKINI SIJAWAHI KUPANDA BUSINESS CLASS i hope one day i will....

Mbwembwe nyiingi kumbe promo tu.
 
Mfuko wanyuma ? Hahaaaaaaaaa !
Nimetafsiri vibaya aisee !

Ntakucheki ngoja tushughulikie kesi ya Jacky cliff !

Mana sidhani kama atarudia ! ==> akigoma kuendelea uta m replace !

Wala sio vibaya huo huo mfuko uliotafsiri, ndo ntaweka...
 
Back
Top Bottom