Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani dada wa watu mpongezeni.
Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.
Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.
Masanja (no relation to Kajala)
wani kashamaliza deni analodaiwa na wema???
Kashakua punda Huyu hamna jipya hapo, Ana kipato gani cha kupanda first class?
Ana fanya kazi gani au biashara gani?
Unakaa business class halafu unaanza kupiga mipicha wat 4? watu wa class hiyo walimuona bonge la limbukeni
Na yeye mdau nn wa mambo yale!!
Hayatuhusu swali hili peleka IG
sio lazima ujibu wewe sawa ee
Vya kawaida tu hivi
Watu tunajiachia first class kila siku
Tena air bus 380 jumbo
Segerea si mchezo kwenye vitu hivi lazima ufurahie atii
Unakaa business class halafu unaanza kupiga mipicha wat 4? watu wa class hiyo walimuona bonge la limbukeni
hizi safari zao hizi!!!kila mtu china kunani huko?