Wenye wivu mlie tu, mambo ya Kajala si mchezo

Wenye wivu mlie tu, mambo ya Kajala si mchezo

Ana fanya kazi gani au biashara gani?
 
Jamani dada wa watu mpongezeni.

Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.

Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.

Masanja (no relation to Kajala)

Sure msure tell them..
 
Kashakua punda Huyu hamna jipya hapo, Ana kipato gani cha kupanda first class?

Huwa sipendi sana watu wanaowafikiria watu vibaya na naisha yao. Tofauti iko wapi na pesa wanazohongwa watu katika sekta tofauti.
 
Unakaa business class halafu unaanza kupiga mipicha wat 4? watu wa class hiyo walimuona bonge la limbukeni

aiseee hata mm ninashangaaga sana hivi mtu huwezi angalia mazingira tu kwamba yanataka kufanya nini????.....hii imenikumbusha mdada mmoja nadhani from uswazi kwa muonekano wake ktk safari flan anataka kukaa dirishani ......yani anataka wabadilishane siti cjui nini....dah
 
Vya kawaida tu hivi
Watu tunajiachia first class kila siku
Tena air bus 380 jumbo

Khah! Mbona amebanwa hivyo? Ndege gani? Wenzake tuko huku!


 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    458.6 KB · Views: 340
  • image.jpg
    image.jpg
    481.6 KB · Views: 358
  • image.jpg
    image.jpg
    442.5 KB · Views: 339
  • image.jpg
    image.jpg
    491.8 KB · Views: 322
  • image.jpg
    image.jpg
    460.5 KB · Views: 240
  • image.jpg
    image.jpg
    493.7 KB · Views: 219
Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee
 
Unakaa business class halafu unaanza kupiga mipicha wat 4? watu wa class hiyo walimuona bonge la limbukeni

we ndo mshamba sasa unadhani hii thread ingethibitika vipi kama kweli alipanda iyo class?si mpaka picha?
wivu tu....nawa uso kalale!
 
Mjela jela mwacheni sidhani kama bado Angekuwa nyapara mngeongea yote haya,let her enjoy her life let her BE
 
hivi nani anakua na hiyo kazi ya kumfotoa mipicha yote hiyo bila kujali macho ya passengers
 
Kwani passengers wanamind wew ukijifotoa,that's purely your own business
 
Back
Top Bottom