Neema Kaluwa
Member
- Dec 26, 2013
- 5
- 1
hii ndio JF kila mtu matawi ya juu....first class....business class kawaida kwao!!! wakati wengi humu FASTJET ndio imewaokoa[ipo thread hapa inaonyesha hivyo] na ni mabingwa wa kuweka picha zao fb,instagram hata wakiwa wanakula junky KFC achilia mbali wakiwa kwenye flying coffins.
mimi nimepanda sana flights za europe/usa zaidi ya huya Kajala LAKINI SIJAWAHI KUPANDA BUSINESS CLASS i hope one day i will....
Angekua amezoea angepiga hyo mipicha?
Hebu na sisi twende make najiuliza sana kama wewe....
Jamani dada wa watu mpongezeni.
Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.
Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.
Masanja (no relation to Kajala)
Ntaweka tumboni na huku hivi kwenye mfuko wa nyuma....Samahani Tumbo lako Dogo !
Kwa ushauri zaidi wasiliana na Mzoefu wetu kwa email hii
agnesmasogange@gmail.com
Ntaweka tumboni na huku hivi kwenye mfuko wa nyuma....
Ntaweka tumboni na huku hivi kwenye mfuko wa nyuma....
hii ndio JF kila mtu matawi ya juu....first class....business class kawaida kwao!!! wakati wengi humu FASTJET ndio imewaokoa[ipo thread hapa inaonyesha hivyo] na ni mabingwa wa kuweka picha zao fb,instagram hata wakiwa wanakula junky KFC achilia mbali wakiwa kwenye flying coffins.
mimi nimepanda sana flights za europe/usa zaidi ya huya Kajala LAKINI SIJAWAHI KUPANDA BUSINESS CLASS i hope one day i will....
Wanaendaga na wapiiii
Mfuko wanyuma ? Hahaaaaaaaaa !
Nimetafsiri vibaya aisee !
Ntakucheki ngoja tushughulikie kesi ya Jacky cliff !
Mana sidhani kama atarudia ! ==> akigoma kuendelea uta m replace !
Anza kumeza mbilimbi ndo mazoezi.