Wenyeji Mbulu mkoani Manyara naomba mnijuze haya

Wenyeji Mbulu mkoani Manyara naomba mnijuze haya

Nakushauri nenda na katoni ya kondomu kama kazi yako ni ya muda mrefu.
Maana Wambulu hawajui kumnyima mtu kitu.
 
Natamani sana kufika huko umbuluni, naskia patamu sana huko kwenye swala la wachumba.
 
Wasalaam.

Wakuu hivi karibuni natarajia kwenda Mbulu kikazi sasa ningependa kufahamu ni lodge gani nzuri zipo hapo town.

Na vipi kuhusu nyumba za kupanga, zinapatikana?

Alfred saigilomagema
Guwang,🚶,na ni manyara nasio singida Kama mdau mmoja nanavyotaka kukuchuuza,Ila pia ungesema ni teacher mtarajiwa au kada ipi Kwani wenyeji tupo🚶
 
Guwang,🚶,na ni manyara nasio singida Kama mdau mmoja nanavyotaka kukuchuuza,Ila pia ungesema ni teacher mtarajiwa au kada ipi Kwani wenyeji tupo🚶
No sio mwalimu, ni kada tofauti kabisa
 
Sehemu za kulala siku hizi kwenye miji mingi wala siyo shida unamwambia bodaboda tu anakupeleka unachaguwa unayotaka labda kwa zile hotel maalum ambazo unahitaji kufanya booking
 
Back
Top Bottom