Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Mkuu hongera kwa wazo zuri.Nimeambiwa sasshv ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana,
Je vitu gan naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao
(Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
[emoji23]Kama una mtaji mdogo tafuta pesa ya kiroba cha ngano na mafuta lenga vijiji vya masasi kauze maandazi na chai, kweny chai sukari tia mwenyewe wamakuwa ukiwaachia kujitilia sukari unaweza kukuta sukar kg 1 wametumia watu wa 3 tu imeisha [emoji1][emoji1]
SawaBidhaa yeyote tu unauza ila lenga vijijin sana na bidhaa zinazowafaa watu wa vijijin
Ahsante mkuuMkuu hongera kwa wazo zuri.
Mimi siyo mwenyeji wa maeneo hayo lakini nimeishi na kufanya shughuli zangu ndani ndani huko Mahuta Newala, Tandahimba nk nk.
Mimi naona vitu wanavyopenda ni magodoro, Sub woofer, Pikipiki, Simu, Solar Panels, Mabati na Pump za kunyunyiza dawa kwenye mikorosho. Ngoja wengine wajje kukupa data mkuu.
Hongera kwa kuthubutu.
Wamakua kwa sukari🙌🏽Kama una mtaji mdogo tafuta pesa ya kiroba cha ngano na mafuta lenga vijiji vya masasi kauze maandazi na chai, kweny chai sukari tia mwenyewe wamakuwa ukiwaachia kujitilia sukari unaweza kukuta sukar kg 1 wametumia watu wa 3 tu imeisha 😄😄
Upo newala sehemu ganimkuu me nipo huku newala kiukwel axaiv msimu bidhaa nying zinauzika tena xana cha msingi lenga bidhaa za wanawake na vijana i mean viatu vya kike chupi taiti utakuja kunishukulu
Kuna mmoja alikutwa mgahawan kajaza sukar kweny chai hadi imetokeza juu ya kikombe utadhan anatengeneza asali 😄😄Wamakua kwa sukari🙌🏽
Msimu wa korosho mwisho lini?Mm nipo masas vijijini uku ukileta radio,memory card, sendo za ke na me na vinguo vya mitumba utauza.
Nauli ni kiasi gan kufika hapo kwa mtu anayetokea moroMm nipo masas vijijini uku ukileta radio,memory card, sendo za ke na me na vinguo vya mitumba utauza.