Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una sh. ngapi? unataka ngapi? za metre ngapi ngapi? nnazo kibao tu.Natafuta mahali au duka napoweza kupata Ethernet cable kwa ajili ya Internet.
Nisaidieni wakuu wangu wenyeji wa Arusha hapa, mie mgeni.
Nimezunguka zunguka maduka baadhi hata Sipati.
Una sh. ngapi? unataka ngapi? za metre ngapi ngapi? nnazo kibao tu.
Nenda Benson Electronic and Company Sokoine Road wanauza bidhaa za electronic zilizo original ingawa bei zao ni juu kidogo.Natafuta mahali au duka napoweza kupata Ethernet cable kwa ajili ya Internet.
Nisaidieni wakuu wangu wenyeji wa Arusha hapa, mie mgeni.
Nimezunguka zunguka maduka baadhi hata Sipati.
Mi siko arachuga...huu mtindo wa kutambuana watu walipo unaogopesha sana.....mbona ukienda town ukaulizia wanakouza computer utaoneshwa tu...
Get your ass out of my way.
Wenyeji wamenisaidia tayari, sijui kipele gani chakuwasha mkuu wangu.