Wenyeji wa Arachuga: Nipo Arusha hapa. Wapi wanauza Ethernet cable

Kapena

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
376
Reaction score
507
Natafuta mahali au duka napoweza kupata Ethernet cable kwa ajili ya Internet.

Nisaidieni wakuu wangu wenyeji wa Arusha hapa, mie mgeni.
Nimezunguka zunguka maduka baadhi hata Sipati.
 
Una sh. ngapi? unataka ngapi? za metre ngapi ngapi? nnazo kibao tu.
 
Mkuu wangu nisiwe mswahili,
Nahitaji cable moja tu kwa ajili ya personal usage, cable yenye connectors zilizoungwa kabisa nikifika na plug tu.

Urefu wa kawaida tu hata mita mbili fresh.
Niambie uko wapi niijie. Pesa sio tatizo.
0752 56 58 52
 
Natafuta mahali au duka napoweza kupata Ethernet cable kwa ajili ya Internet.

Nisaidieni wakuu wangu wenyeji wa Arusha hapa, mie mgeni.
Nimezunguka zunguka maduka baadhi hata Sipati.
Nenda Benson Electronic and Company Sokoine Road wanauza bidhaa za electronic zilizo original ingawa bei zao ni juu kidogo.
Screenshot_20180119-141243.png
 
Ahsante sana kiongozi Suip
Ngoja nirudi nyuma, maana nipo hapa Clock Tower NMB
Ugeni huu, shida sana
 
Mi siko arachuga...huu mtindo wa kutambuana watu walipo unaogopesha sana.....mbona ukienda town ukaulizia wanakouza computer utaoneshwa tu...
 
Get your ass out of my way.
Wenyeji wamenisaidia tayari, sijui kipele gani chakuwasha mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom