Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Ubungo karibu na Ubungo Plaza/stendi ya zamani.Ofisi ipo ubungo ipi?
Pia kimara kubwa kuwa specific kimara ipi?
Kama ni hivyo ni bora akae kimara.. ni karibu sana ukilinganisha na segerea..Ubungo karibu na Ubungo Plaza/stendi ya zamani.
Hakuna sehemu yoyote ya kimara imeendelea hata kuikaribia segerea...unapaita madongo kwinama?Kimara anapata usafiri kwa urahisi kuliko huko madongo kuinama Tabata Segerea
Aishi Manzese, Mabibo Ndiyo Anakwenda Job Anatembea KabisaUbungo karibu na Ubungo Plaza/stendi ya zamani.
Au Kwa gwajimaChagua Hapa, Manzese, Mabibo, Simu 2000,Kwa Mzee Upako
Kimara hata kwa mguu anaenda ubungo, inategemea ni mimara ipi na ubungo ipi. Ukizingatia kwa sasa ubungo ni wilaya, ila ubungo kama ubungo na yenyewe, kuna msewe, makuburi, Gide nk, kimara kuna kibo, suka, temboni, bonyokwa nkHabari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.
Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.
Ahsante.
Hapo Pia Jirani, Ama Aishi Ndani Chuo Cha Maji, SymbionAu Kwa gwajima
penda sana Kimara mimi, na nimeishi hapo kwa 10 years, labda ni kwasababu ni njiapanda kwenda mkoani. bado nainjoy Kimara hadi leo.Habari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.
Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.
Ahsante.
Tuombe radhi wakazi wa Tabata SegereaKimara anapata usafiri kwa urahisi kuliko huko madongo kuinama Tabata Segerea