Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

Habari wakuu.

Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.

Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.

Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.

Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.

Ahsante.
Mkuu kweli huwezi tumia gugo mapu?
 
Kwann aende segerea akae tabata kimanga au kisukuru karibu na ubungo kuliko kimara...

Afu tabata ka anapenda bata na totoz ndio kwnyewe
 
Habari wakuu.

Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.

Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.

Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.

Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.

Ahsante.
Tumia Google mape utajua
 
Aishi Kimara tu....Tabata kuna foleni ya mandela road itamtesa sana...Kimara ndo ubungo yenyewe mkuu
 
Kimara kwa matajiri bob segerea wahuni tu
Bonyokwa hamna ata maji,Matosa Ni utopolo kama upo bariadi,mavurunza Jina linajieleza tu,korogwe nenda karogwe,temboni hamna ata internet...yaani kimara hamna basic needs kama hospital,shule watu wanapeleka watoto Tabata mf. Tusiime etc. Yani kimara imejaa wachaga lakin ajabu hata bar wanaenda Tabata maana huko hazipo.
 
Habari wakuu.

Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.

Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.

Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.

Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.

Ahsante.
Mwambie akae Kimara Corner, akiwa geto anaona ofisini kwake!
 
Tabata hovyo sana kuna folen balaa kwa ubungo akae kimara ama ubungo apo apo
 
Mna wivu na wakazi wa dar
wivu wa nini sasa? unaweza kuwa unaongea hivyo kumbe wewe ni mkazi wa Dar na sio mwananchi wa Dar. wivu kwa kitu gani sasa wakati watu washakuwa na maisha ya kudumu hapo aisee, wamejenga wakaamua kuacha nyumba wawapangishe ninyi na kuja mikoani? unajua unachoongea lakini? hivi unajua kama watu wengine kuja hapo dar hawaji ugenini wanakuja nyumbani kwao hawapangi guest house kama wewe?
 
Kama ana usafiri wake binafsi kite ni jirani ila akumbuke kuwahi
 
Kuna mdogo wangu Jana nimemwambia km unataka kufanikiwa usirudi Tena Dar...yaan hataki kunielewa huku akidai dar Kuna koneksheni na maneno kibao...

Nimemwacha aende lkn ukweli dar Ni jiji la hovyo Sana
Huo ni ukweli kabisa, kuna watu wengi wanaishi maisha mazuri, ya kujiachia wakiwa mkoani kuliko dar.
Dar hela unayopata kwenye mshahara inaenda kuteketea kulipia bili na chakula tofauti na mkoani.
 
nimeishi dsm kwa miaka 15, hadi nilipohama ndipo nilikuja kujua kuwa kuishi pale ni ushamba na kujitakia umasikini. dsm watu wa kawaida wanaishi maisha magumu sana lakini wao huwa hawaelewi, huwa wanaamini wanaishi vizuri kuliko watu wengine.
Mfano mtu mzima kuishi chumba kimoja na watoto wawili sio maisha ya kawaida lakini sisi tunajionea sawa tu.
 
ni jiji la kimaskini, unatakiwa uishi kama umeshatengeneza pesa na kilichobaki ni kutumikisha watu wengine ili pesa yako iendelee kuwa maintained, na hao wanaotumikishwa ndio hao huwa hawataki kuondoka Dar.
Sema wewe ndio huna hela ,

Kuna watu Dar kwa siku wanafanya mauzo ya Milion 20-40 utasemaje ni Jiji la kipuuzi.

Tembea na uliza uoneshwe. Kwa mtu ambae Ni focused dar ni suala la muda kutusua.
 
Back
Top Bottom