Mkuu kweli huwezi tumia gugo mapu?Habari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.
Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.
Ahsante.
UongooooSegerea ni karibu.
Tumia Google mape utajuaHabari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.
Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.
Ahsante.
Aishi Kimara tu....Tabata kuna foleni ya mandela road itamtesa sana...Kimara ndo ubungo yenyewe mkuuHabari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.
Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.
Ahsante.
DuuhSegerea ni karibu.
Mimi napapenda piapenda sana Kimara mimi, na nimeishi hapo kwa 10 years, labda ni kwasababu ni njiapanda kwenda mkoani. bado nainjoy Kimara hadi leo.
Kimara kwa matajiri bob segerea wahuni tuHakuna sehemu yoyote ya kimara imeendelea hata kuikaribia segerea...unapaita madongo kwinama?
Bonyokwa hamna ata maji,Matosa Ni utopolo kama upo bariadi,mavurunza Jina linajieleza tu,korogwe nenda karogwe,temboni hamna ata internet...yaani kimara hamna basic needs kama hospital,shule watu wanapeleka watoto Tabata mf. Tusiime etc. Yani kimara imejaa wachaga lakin ajabu hata bar wanaenda Tabata maana huko hazipo.Kimara kwa matajiri bob segerea wahuni tu
TBS eeh, aishi kimara korogwe anatembea tu kwenda job[emoji3][emoji3][emoji3]Ubungo karibu na Ubungo Plaza/stendi ya zamani.
Mwambie akae Kimara Corner, akiwa geto anaona ofisini kwake!Habari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.
Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.
Ahsante.
wivu wa nini sasa? unaweza kuwa unaongea hivyo kumbe wewe ni mkazi wa Dar na sio mwananchi wa Dar. wivu kwa kitu gani sasa wakati watu washakuwa na maisha ya kudumu hapo aisee, wamejenga wakaamua kuacha nyumba wawapangishe ninyi na kuja mikoani? unajua unachoongea lakini? hivi unajua kama watu wengine kuja hapo dar hawaji ugenini wanakuja nyumbani kwao hawapangi guest house kama wewe?Mna wivu na wakazi wa dar
Huo ni ukweli kabisa, kuna watu wengi wanaishi maisha mazuri, ya kujiachia wakiwa mkoani kuliko dar.Kuna mdogo wangu Jana nimemwambia km unataka kufanikiwa usirudi Tena Dar...yaan hataki kunielewa huku akidai dar Kuna koneksheni na maneno kibao...
Nimemwacha aende lkn ukweli dar Ni jiji la hovyo Sana
Mfano mtu mzima kuishi chumba kimoja na watoto wawili sio maisha ya kawaida lakini sisi tunajionea sawa tu.nimeishi dsm kwa miaka 15, hadi nilipohama ndipo nilikuja kujua kuwa kuishi pale ni ushamba na kujitakia umasikini. dsm watu wa kawaida wanaishi maisha magumu sana lakini wao huwa hawaelewi, huwa wanaamini wanaishi vizuri kuliko watu wengine.
Ahamie kimara ndo rahisi kwake, anaweza kuwa anapanda hata mwendokasi chap anafika ofisiniUbungo karibu na Ubungo Plaza/stendi ya zamani.
Sema wewe ndio huna hela ,ni jiji la kimaskini, unatakiwa uishi kama umeshatengeneza pesa na kilichobaki ni kutumikisha watu wengine ili pesa yako iendelee kuwa maintained, na hao wanaotumikishwa ndio hao huwa hawataki kuondoka Dar.