Ambapo atakuwa abapanda magari ya Kariakoo au Posta yanayopitia Shekilango road halafu anakuwa anashuka Kituo cha shekilango sokoni moja kwa moja Hadi ofisini kwa mguu.
Au akae pale Ubungo maeneo ya Kagame hotel Hadi eneo lake la kazi ni anatembea kwa mguu.
Au akae Maeneo ya Mawasiliano hadi Eneo lake la kazi anaenda kwa miguu kwa kupitia Daraja jipya la mto Ng'ombe linaloenda Ilipokuwa stand mpya ya mabasi ya Ubungo.
NB: Kwa ushauri wangu huo simshauri akakae huko segerea na Ubungo wakati Kuna option nyingi Sana zaidi ya hizo nilizotaja.
ni wewe unauza hivo au unaongelea mafanikio ya wenzio? acha ushamba, tushaishi hapo miaka zaidi ya 15, na tukija hapo tunakuja nyumbani, tumejenga hapo, sio kapuku unaongea kwa mafanikio ya wenzio.
ni wewe unauza hivo au unaongelea mafanikio ya wenzio? acha ushamba, tushaishi hapo miaka zaidi ya 15, na tukija hapo tunakuja nyumbani, tumejenga hapo, sio kapuku unaongea kwa mafanikio ya wenzio.