Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.