Wenyeji wa Dar msaada wenu

Wenyeji wa Dar msaada wenu

Maelekezo ni mengi,tena ya kukosoana
Mgeni atajuta kulifahamu jiji 😂
Hapo simple sana achukue boda nadhani haitozidi tsh 15,000/= maana kwa bolt ni tsh 13,500, maswala ya mwendokasi/daladala na ugeni wake inaweza mgarimu zaidi kwenye muda na usumbufu mwingine. Boda ukishampa maelekezo ni rahisi kinachobaki ni kuomba kufika salama.
 
ukifika mbezi magufuli nishtue Nikupeleke kiboss hadi azam marine.. total tsh. 20,000../= bei ya bolt.

Alfu muda huu upo wapi maana boti mwisho za azam ni saa kumi au kumi na moja hivi..
Huu ni ukweli. Muda huu hawezi kupata boti. Muhimu aende mpaka magomeni au kariakoo atafute kwa kulala hadi asubuhi
 
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.

NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
 
Hapo simple sana achukue boda nadhani haitozidi tsh 15,000/= maana kwa bolt ni tsh 13,500, maswala ya mwendokasi/daladala na ugeni wake inaweza mgarimu zaidi kwenye muda na usumbufu mwingine. Boda ukishampa maelekezo ni rahisi kinachobaki ni kuomba kufika salama.

Ni kweli
Akibolt ataokoa muda sana,bahati nzuri anapoenda panafahamika...muhimu asiseme yeye ni mgeni manake watu wa usafiri wakijua ni mgeni upigaji wa nauli haukosekani
 
Hakuna boti mda huo unafika labda ukate tiketi ya boti kesho asubuhi.

Kama lazima usafiri kuna meli ya usiku, unaweza kupanda ila utafika asubuhi.

Chukua bolt kwa usalama wako huko kukwepa garama bodaboda ni hatari sana kutumia kama usafiri na hivyo ni mgeni.

Kama unabegi likumbatie.

Karibu mjini, kaza sura usicheke na kima mpaka unafika Zenji🤝
 
Ok.... Abiria wa Kilimanjaro seven mujiandae ku onboarding.... Tayari kuanza safari kuelekea visiwani unguja!

Ndugu abiria fuatilia elimu ni namna gani utaweza kujiokoa pale chombo chetu kitapo pata hitilafu na kupelekea chombo kuzama

Hali ya hewa siku ya Leo..., upepo unavuma kwa kasi..... kwa lisaa huku mawimbi ya bahari yakiwa ni mtulivu kabisa!

Nikutakie safari njema kuelekea visiwani unguja!

Pata chocolate kwa Tsh afu kumi.... zipo tano yaaaaahee.... 😂
 
Hakuna boti mda huo unafika labda ukate tiketi ya boti kesho asubuhi.

Kama lazima usafiri kuna meli ya usiku, unaweza kupanda ila utafika asubuhi.

Chukua bolt kwa usalama wako huko kukwepa garama bodaboda ni hatari sana kutumia kama usafiri na hivyo ni mgeni.

Kama unabegi likumbatie.

Karibu mjini, kaza sura usicheke na kima mpaka unafika Zenji🤝
Avuke tumpokee wa Kigamboni 😂
 
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.

NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Ukishuka magufuli stand panda mwendokasi za kivukoni, shuka kituo cha mwendokasi kinaitwa Halmashauri ya Jiji ni baada ya kituo cha Kisutu. Ukishuka hapo umefika ni hatua tano mbele ya hicho kituo kuvuka barabara ya Sokoine. Hapapotezi... ukifika nishtue uje unywe kahawa vijana watashughulika issue ya tiket wewe itakuwa ni kwenda kwenye boti tu. Krb sana mdau zaidi njoo PM kwa simu na mengine but uwe raia Mwema that's rule No. 1!
 
Baby ukinipa tamu nakuja kukuchukua bure kabisa 😋😋😋😋😋
 
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.

NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Kwenu hakuna hata rafiki anayeweza kukuelekeza hadi ukaja huku JF?

..........ila Wasukuma mnatia aibu sana.
 
Back
Top Bottom