Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Mbezi luis to posta elfu 8 mkuu?Panda magari yanavyoenda posta kivukoni
Kuna bajaji zinaelekea huko
Ila kama una haraka na una Hela fanya elfu nane bodaboda Ili uwahi
ukifika mbezi magufuli nishtue Nikupeleke kiboss hadi azam marine.. total tsh. 20,000../= bei ya bolt.Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Ukishuka magufuli toka nje ya kituo.chukua boda mwambie akupeleke kimara mwisho kituo Cha mwendokasi..ikifika hapo ingia ndani ya daraja vuka ingia kituoni kata tiketi Kisha subiri magari yaloandikwa kivukoni.yatakapogeuzia mkishuka waombe watu wakuonyeshe ferryNauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
๐๐ Mi nimemsaidia kukadiriaMbezi luis to posta elfu 8 mkuu?
shekilango to posta ni tsh 6,000-7,000 kwahyo ajipange kwa zaidi ya hiyo.
Mfafanulie vizuri bolt anaweza kufikiri ni bolt ya kufunga kwa nati๐คฃukifika mbezi magufuli nishtue Nikupeleke kiboss hadi azam marine.. total tsh. 20,000../= bei ya bolt.
Alfu muda huu upo wapi maana boti mwisho za azam ni saa kumi au kumi na moja hivi..
Acha kumpoteza bas na wewePanda daladala zinazoelekea K/koo, shuka K/koo panda pikipiki mpaka ofisi za Azam.
Ila Kwa bahati mbaya boda hazituhusiwi posta.[emoji134]
Sawa mkuu ila mnaomshauri mamwendo kasi na ugeni wake wajiji mtampoteza mgeni.๐๐ Mi nimemsaidia kukadiria
Mtu ni Mropoka Hovyo Hawrzi kuwa mtumishi hovyoPanda mwendokas mtumish shuka kituoa kinaitwa jiji
Then njoo st Joseph upungwe upepo kidogo ukisubilia bot
Si apande hapohapo mbez gari ya mwendo kasi ya kimaraUkishuka magufuli toka nje ya kituo.chukua boda mwambie akupeleke kimara mwisho kituo Cha mwendokasi..ikifika hapo ingia ndani ya daraja vuka ingia kituoni kata tiketi Kisha subiri magari yaloandikwa kivukoni.yatakapogeuzia mkishuka waombe watu wakuonyeshe ferry
Pale wanamfikisha tu mbona.Ila Kwa bahati mbaya boda hazituhusiwi posta.๐
Ni sawa pia.but kama ni mgeni ni Bora kumpa maelezo rahisi kutelekeza.aanze kuingia Tena kituoni kutafuta basi la mwendokasi mi naona usumbufuSi apande hapohapo mbez gari ya mwendo kasi ya kimara