Hapo hapo stand ya magufuli zipo mbona na kituo cha mwendo kasi hapo hapo kipoNi sawa pia.but kama ni mgeni ni Bora kumpa maelezo rahisi kutelekeza.aanze kuingia Tena kituoni kutafuta basi la mwendokasi mi naona usumbufu
Hapo simple sana achukue boda nadhani haitozidi tsh 15,000/= maana kwa bolt ni tsh 13,500, maswala ya mwendokasi/daladala na ugeni wake inaweza mgarimu zaidi kwenye muda na usumbufu mwingine. Boda ukishampa maelekezo ni rahisi kinachobaki ni kuomba kufika salama.Maelekezo ni mengi,tena ya kukosoana
Mgeni atajuta kulifahamu jiji π
Huu ni ukweli. Muda huu hawezi kupata boti. Muhimu aende mpaka magomeni au kariakoo atafute kwa kulala hadi asubuhiukifika mbezi magufuli nishtue Nikupeleke kiboss hadi azam marine.. total tsh. 20,000../= bei ya bolt.
Alfu muda huu upo wapi maana boti mwisho za azam ni saa kumi au kumi na moja hivi..
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a MuseveniNauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Hapo simple sana achukue boda nadhani haitozidi tsh 15,000/= maana kwa bolt ni tsh 13,500, maswala ya mwendokasi/daladala na ugeni wake inaweza mgarimu zaidi kwenye muda na usumbufu mwingine. Boda ukishampa maelekezo ni rahisi kinachobaki ni kuomba kufika salama.
Yan Dar complication ni nyingi sana tena kwa mgeni wa jiji anaweza akasusa kuishi Dar , maana kuizoea ni kazi kweli kweli, MFANO TU Kaliakoo kuna sehem haruhusiwi kupita dreva bajaj asie mremavu π©Boda mbona tunapishana nazo posta kila siku
Boda 8000? Mbezi posta?Panda magari yanavyoenda posta kivukoni
Kuna bajaji zinaelekea huko
Ila kama una haraka na una Hela fanya elfu nane bodaboda Ili uwahi
Lazima kimrambeMaelekezo ni mengi,tena ya kukosoana
Mgeni atajuta kulifahamu jiji π
Avuke tumpokee wa Kigamboni πHakuna boti mda huo unafika labda ukate tiketi ya boti kesho asubuhi.
Kama lazima usafiri kuna meli ya usiku, unaweza kupanda ila utafika asubuhi.
Chukua bolt kwa usalama wako huko kukwepa garama bodaboda ni hatari sana kutumia kama usafiri na hivyo ni mgeni.
Kama unabegi likumbatie.
Karibu mjini, kaza sura usicheke na kima mpaka unafika Zenjiπ€
Ukishuka magufuli stand panda mwendokasi za kivukoni, shuka kituo cha mwendokasi kinaitwa Halmashauri ya Jiji ni baada ya kituo cha Kisutu. Ukishuka hapo umefika ni hatua tano mbele ya hicho kituo kuvuka barabara ya Sokoine. Hapapotezi... ukifika nishtue uje unywe kahawa vijana watashughulika issue ya tiket wewe itakuwa ni kwenda kwenye boti tu. Krb sana mdau zaidi njoo PM kwa simu na mengine but uwe raia Mwema that's rule No. 1!Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Kwenu hakuna hata rafiki anayeweza kukuelekeza hadi ukaja huku JF?Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
madogo wa mkoani wemeamua kuachana na biashara za kukamua ng'ombe asubui acha waje mjini kidogoMaelekezo ni mengi,tena ya kukosoana
Mgeni atajuta kulifahamu jiji π
madogo wa mkoani wemeamua kuachana na biashara za kukamua ng'ombe asubui acha waje mjini kidogo
aloo!! kwani ni nani huyu jamaaMgeni wetu mjini anapita anaenda zake Zanzibariiii