Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
awambie wamshushe tangibovuPanda gari la gongo la mboto
aloo!! kwani ni nani huyu jamaa
Mi napotaka kumuelekeza mtu sitaki mambo mengi tunaanza mdogo mdogo kwanza mkuu ππππππawambie wamshushe tangibovu
Yan Dar complication ni nyingi sana tena kwa mgeni wa jiji anaweza akasusa kuishi Dar , maana kuizoea ni kazi kweli kweli, MFANO TU Kaliakoo kuna sehem haruhusiwi kupita dreva bajaj asie mremavu [emoji30]
Akipita anakamatwa anapigwa faini [emoji16]
Nimekadiria...ila jamaniBoda 8000? Mbezi posta?
Kuna haja gani ya kumnanga? Mbona watu kibao wanakuja humu kuuliza tuu namna ya kupika, walishindwa kwenda YouTube? Ama mafuta ya nywele au lotion kwani walikosa cosmetics na facial parlour?Kwenu hakuna hata rafiki anayeweza kukuelekeza hadi ukaja huku JF?
..........ila Wasukuma mnatia aibu sana.
Mwisho atajikuta kapanda Pantoni anashushwa kigamboni πΉMaelekezo ni mengi,tena ya kukosoana
Mgeni atajuta kulifahamu jiji π
Mwisho atajikuta kapanda Pantone anashushwa kigamboni πΉ
Huyo ndo hamna kitu kabisa awe makini πΉπΉHivi kwanza sijui mgeni wetu kapotelea wapi
Isije ikawa kafuata ushauri wa Poor Brain huko juu ππ
πππHakuna boti mda huo unafika labda ukate tiketi ya boti kesho asubuhi.
Kama lazima usafiri kuna meli ya usiku, unaweza kupanda ila utafika asubuhi.
Chukua bolt kwa usalama wako huko kukwepa garama bodaboda ni hatari sana kutumia kama usafiri na hivyo ni mgeni.
Kama unabegi likumbatie.
Karibu mjini, kaza sura usicheke na kima mpaka unafika Zenjiπ€
Ukute kaona mambo mengi kazima simu au kaambiwa safari kesho kwa muda ule ni ngumu afike mjini na kukuta boat maybe ile sea link kama ipo maake ile nasikia haichagui muda!Mwamba alifika? Boti za uko mwisho saa ngp kwan?
πππππ Daaah...Hivi kwanza sijui mgeni wetu kapotelea wapi
Isije ikawa kafuata ushauri wa Poor Brain huko juu ππ
Ngoja nifanyie kazi ushauri wa mzabzabHuyo ndo hamna kitu kabisa awe makini πΉπΉ
Kuna nini tena huku. Mie nacheki thimbaaa hapaNgoja nifanyie kazi ushauri wa mzabzab