Wenyeviti 17 wa Vyama vilivyoshiriki Uchaguzi watunzwe kwa wivu mkubwa

Kwel, wenye viti wa vyama vya chawa wa CCM watunzwe maana hao ndio wanatupa ushirikiano pindi tunapopora uchaguzi wanakuwa upande wetu na wanalitakia aman taifa, hao wengne tukipora uchaguzi wanahamasisha vurugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…