MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kuna tetesi kua kwa sasa wale wanachama wa CCM ambao LOWASA aliwahi kusema watamfuata upinzani sasa muda wowote wanaweza kubwaga manyanga na kuvaa magwanda kumfuata kamanda EL CHADEMA, pia kuna baadhi inasemekana wanaelekea CUF ya Maalim Seif.
Idadi ya viongozi hawa inasemekana ni pamoja baadhi ya Makatibu na wenyeviti wa sasa wa mikoa na wilaya na wale wanachama na viongozi waliovuliwa uongozi na uanachama na uongozi wa CCM taifa hivi karibuni.
Walalamika kunyanyaswa ndani ya chama kwa koti la kuwatumikua wanyonge, wanachsma hao inasemekana zaidi ni kulalamikia maamuzi ya viongozi wachache bila kushirikishana kama taratibu za uongozi zilivyo. Kingine kinacholalamikiwa ni pamoja na katiba na taratibu za chama kutofuatwa wakati maamuzi.
CCM mmeliamsha dude wacha maagizo yenu yakome.Msimchezee EL mziki wake mwaujua.