Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TWAWEZA hawakukosea hata kidogo kama hata kiswahili kinawashinda CCM.Unapiga lamuli - labda akina madabida na ss
Hupaswi kuwa na aibu kwenye siasa za bongo,si unamwona Le professor,kiulaini anaanza kutafuna ruzuku![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Siasa zina vituko sana
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Kazi ipo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hupaswi kuwa na aibu kwenye siasa za bongo,si unamwona Le professor,kiulaini anaanza kutafuna ruzuku!
Anapiga nini? Sijasikia rudia
Sasa hao watakaoachwa CCM wakienda CHADEMA, basi ujue CDM watapoteza sana uchaguzi wa 2020 kwa sababu CCM ndio itakuwa ikiwaita wao mafisadi. Sijui Tundu Lissu atakuwa abawanadi vipi? Halafu hapo hapo wanakataa kumuunga mkono Magufuli kwa madai kuwa uozo ulifanywa na wana-CCM. So kama ni hivyo mbona watakuwa wanachukua mskapi?Kuna tetesi kua kwa sasa wale wanachama wa CCM ambao LOWASA aliwahi kusema watamfuata upinzani sasa muda wowote wanaweza kubwaga manyanga na kuvaa magwanda kumfuata kamanda EL CHADEMA, pia kuna baadhi inasemekana wanaelekea CUF ya Maalim Seif.
Idadi ya viongozi hawa inasemekana ni pamoja baadhi ya Makatibu na wenyeviti wa sasa wa mikoa na wilaya na wale wanachama na viongozi waliovuliwa uongozi na uanachama na uongozi wa CCM taifa hivi karibuni.
Walalamika kunyanyaswa ndani ya chama kwa koti la kuwatumikua wanyonge, wanachsma hao inasemekana zaidi ni kulalamikia maamuzi ya viongozi wachache bila kushirikishana kama taratibu za uongozi zilivyo. Kingine kinacholalamikiwa ni pamoja na katiba na taratibu za chama kutofuatwa wakati maamuzi.
CCM mmeliamsha dude wacha maagizo yenu yakome.Msimchezee EL mziki wake mwaujua.