Tetesi: Wenyeviti/Makatibu wa CCM kujiunga na upinzani, kuungana na Lowassa!


Hii ni speculation kwa kuamini kuwa uchaguzi wa CCM utakaofanyika hivi karibuni utasababisha baadhi ya watakaokatwa au kukosa kura wahamie kwa Lowassa. Ila usitarajie aliyeko madarakani muda huu na ambaye ana imani kuwa hatakatwa eti amfuate Lowassa. Ingekuwa hivyo mbona wangehama siku nyingi tu.
 
Waondoke tu kama wanaunga mkono ujinga wa EL

Sent from my Lenovo A606 using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu ya migration imewagarimu chadema bado mnaihitaji?
Kenge aelewi mpaka damu zimtoke.
 
naitunza

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli dawa ya nyoka ni kupiga kichwa tu, bado mnatamani wana-CCM akina Madabida,Sophia Simba waje kuchukua uongozi Chadema?
Na ninyi!!!? au ndio mnaostahili kubeba na kuhonga wanachama wa vyama vingine
 
UPINZANI wa sasa hauna hoja za kuwaeleza wananchi. Agenda zote za maendeleo zinatekelezwa na utawala huu,Sasa hao watu wanakimbilia huko kufanya siasa gani?
 
UPINZANI wa sasa hauna hoja za kuwaeleza wananchi. Agenda zote za maendeleo zinatekelezwa na utawala huu,Sasa hao watu wanakimbilia huko kufanya siasa gani?
wananchi hawaelezwi kitu wanajuwa hakuna serikali ni mzuka tu hawajichoshi na mabashite
 
Hakuna kitu kama hicho.!

Sent from my Lenovo TAB 2 A7-30H using JamiiForums mobile app
 
mkuu kilevi ulichotumia au chakula ulichokula usitumie tena ...siku nyingine kinaweza kukushauri kujiua
 
Waje Itakuwa vyema sana!!

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja vijana wa Lumumba waje speed kukujibu!
 
ENDELEA KUOTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…