Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga.
Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu.
Hoja yangu ni usalama wa raia. Mabalozi wanalala sana. Viongizi wa serikali za mitaa wanalala pia. AMKENI..Matukio yanapoibuka hawana majibu Kwa kuwa hawajafanya kazi yao. Ulinzi shirikishi utasaidia Sana. Lkn ni ni vigumu Sana kulinda usalama wa raia bila viongozi wa shina mabalozi kuamka wamelala Sana. Nakuhakikishia mabalozi wanalala.
Wezi wa kuvamia wanarahisishiwa kazi ya Kuvunja,kuiba,kubaka,kulawiti wanawake na wamama wajawazito, wanafunz majumbani kwa kutowajibika kwa viongozi. Shime kila mmj awajibike. Japo aseme kila nyumba imiliki filimbi kabla wez hawajafanya lolote piga filimbi.