Wenyeviti wa vijiji Ngorongoro wasema hawajakubaliana kuondoka, Hawakusikilizwa na Waziri Mkuu

Hivi Kunawamarekan wangap wanamiliki vitalu vya uindaji hapa Tanzania mbona cjasikia neno ukristo Ila mwarabu ndio utasikia uislm kwani wanapewa Bure au
 
Nimeicopy, wakiifuta nitai-paste tena. Vinginevyo wanipige ban
 
Kazi bado ipo. Hicho kizungu wanamweleza nani wakati serikalini wote wanaelewa kiswahili?
 
wanatumiwa hao wapigwe tu na wanaitumia Biblia vibaya aidha hawajui hata neno hilo linamainisha nini.hao ni wakenya na si watanzania wenye nia thabiti na nchi hii,serikali isijedanganyika na watu hao kwani hilo ni kaa la moto.ikaze kamba kwa maslahi mapana ya watz na siyo ya wamaasai tu kwani hao ni sehemu ndogo tu ya nchi.
 
Kivipi, kwa hiyo unafurahia wakenya kuendelea kujinafasi huko ngorongoro na makundi yao ya ng'ombe kwa lengo la kudumaza utalii wa Tanzania, unazo akili kweli wewe au ni mamluki.....
Una uhakika na hii habari yako au umeiokota tu uko ukaileta hapa?
 
Ila mama anayofanya kwenye ardhi ya bara inatisha! Yaani kama hana uchungu nayo kabisa kabisa!
Tule mafi yetu kwa kujifanya hatutaki katiba mpya na kutokupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…