Wenyeviti wa vijiji Ngorongoro wasema hawajakubaliana kuondoka, Hawakusikilizwa na Waziri Mkuu

Wenyeviti wa vijiji Ngorongoro wasema hawajakubaliana kuondoka, Hawakusikilizwa na Waziri Mkuu

Wanaokataa kuhama Ngorongoro, labda watumie mabavu. Kwa msingi wa sheria, hawawezi kushinda.

Kwa sheria zetu, ardhi yote ni mali ya umma na msimamizi wake mkuu ni Rais wa JMT.

Rais ana mamlaka ya kubadilisha matumizi ya ardhi wakati wowote alimradi mabadiliko hayo yawe kwa manufaa ya umma.

Watanzania kama tunataka tuwe na maamuzi juu ya maisha yetu, ni lazima tupiganie kupata katiba mpya. Kwa katiba hii na sheria za ardhi zilizopo, wamasai wa Ngorngoro,watapigwa bakora, watalala mahabusu, mahakamani hawatashinda, na kuhama watahama. Wasipokaa vizuri, baadhi yao, na jela wataenda.
 
Watu wanaondoka hiari na kwa nilivyomsikia mmoja wao akihojiwa tayari wameshalipwa fidia, usafiri wa kuwasafirisha na mifugo yao wanapewa hivyo wamasai wanafungasha wanaenda zao msomera kwa ambao hawataki kuondoka huku wameshapatiwa fidia tayari hao wanatafuta ugomvi na watu naimani watakipata wanachokitafuta na hao akina maria.
 
Tangu
Hii komenti imeondolewa...
👇🏾

Maghayo said:
Ardhi tukufu za asili za wakristo zinaibiwa kupokonywa na kupewa waarabu. Wakristo ni wakati wa kumpigania Yesu sasa hivi. Hatutaki najis kwenye ardhi zetu.

We will fight for what is rightfully ours.
Tangu lini mkiristo akajua najisi!?..hakuna ardhi ya mkiristo tanzania
 
Wakristo wapo kwenye raha sana inchi hii,ila wanaanzisha chokochoko sana,
Yaani siku waislamu wakiwa kitu kimoja na wakajitambua na kujua haki zao basi wajomba ndio watajua kuwa kumbe wamechezea neema waliyokuwa nayo,
Baadhi ya neema walizonazo ni kujimilikisha nafasi nyingi za utawala, kupasishana mashuleni na vyuoni, memorandum of understanding(mou)
Tarehe ya inchi kutumika ya kikristo, mapumziko kuwa siku ya ibada zao,
So endeleeni tu kujitekenya na kucheka
Hizo ni baadhi tu, ziko nyingi sana,
 
Hii komenti imeondolewa...
👇🏾

Maghayo said:
Ardhi tukufu za asili za wakristo zinaibiwa kupokonywa na kupewa waarabu. Wakristo ni wakati wa kumpigania Yesu sasa hivi. Hatutaki najis kwenye ardhi zetu.

We will fight for what is rightfully ours.
Mi nilijua Waislam ndio watu wa kulialia kila siku na kulalamika kuonewa
 
Back
Top Bottom