bwawani90
Senior Member
- Dec 20, 2025
- 147
- 284
Leo katika pitapita zangu, nikaona nipite nimchukue binti angu.
Basi bana watoto wakaniona nimepaki nikashuka kwenye Vogue, nikazunguka nyuma yao. Wakaanza kumtania mwanagu, Neema(code) huyo ni babu ako?
Binti nikamuina alijisikia vibaya sana.
Ndani ya sekunde wanashangaa mwenzao anaingia kwenye chuma. Nikashusha vioo vyote. Akawapungia huku aibu wakiona wao.
Tuwafundishe watoto heshima, ama sivyo wataambulia aibu