Wenzake watatu wa Sabaya hawana majina?

Wenzake watatu wa Sabaya hawana majina?

Kwa mfululizo mzima wa kesi ya Sabaya imekuwa ikitajwa sabaya na wenzake watatu. Je, hao wenzake watatu ni akina nani? Na haiwezekani kutajwa majina yao? Naulizia tu.

Mfano:
Sabaya na wenzake watatu wahukumiwa Miaka 30 jela.

Mwenye kesi ni huyo mpumbavu Sabaya Ndo maana hao wengine watu hawahangaiki nao.

Tunamzungumzia aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Yaani Mwenyekiti wa kamati ya Usalama wa wilaya. Unapata picha gani? Mtu mwenye dhamana kubwa kiasi hicho kukitumia cheo chake kunyang’anya raia mali zao kwa kutumia silaha?!

Kinachotuvutia hapa ni cheo na mtu aliyepewa cheo alivyobadilisha majukumu ya cheo.
 
Saa baya ndiye alikuwa DC na mkuu wa kikosi kz
 
Mwenye kesi ni huyo mpumbavu Sabaya Ndo maana hao wengine watu hawahangaiki nao.

Tunamzungumzia aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Yaani Mwenyekiti wa kamati ya Usalama wa wilaya. Unapata picha gani? Mtu mwenye dhamana kubwa kiasi hicho kukitumia cheo chake kunyang’anya raia mali zao kwa kutumia silaha?!

Kinachotuvutia hapa ni cheo na mtu aliyepewa cheo alivyobadilisha majukumu ya cheo.
Sijui Kwa nini kijana sabaya alikuwa anafanya hivyo
 
asante Maana sikuwa nawafahamu.
Wamekua wakitajwa sana. Baada ya kesi kuwa popular, vyombo vya habari vikawa vinatumia zaidi jina la Sabaya na kuziweka heading zao "Sabaya na wenzake"

Mkuu, inaonekana interest ya hii kesi kwako imeanza mwishoni. Usijiaibishe zaidi.
 
Ila Hawa jamaa wamesombwa na ubaya wa sabaya na lawyers wao walikua very incompetent!
Kwa nini walikubali kuwa washirika wa mbaya Sabaya? Unafikiri kwenye matukio ya ujambazi, wote huwa majambazi? Wengine huwa ni washirika tu. Hawakutakiwa kushirikiana na jambazi Sabaya.
 
Sijui Kwa nini kijana sabaya alikuwa anafanya hivyo
Mwendazake ulimuonaje? Sabaya ameshaeleza mbele ya mahakama kwamba alifanya hayo kwa mbeleko ya nafasi ya uteuzi (JPM). Kumbuka Sabaya aliteuliwa ukuu wa wilaya huku akiwa anakabiliwa na kesi ya kugushi kitambulisho cha usalama wa Taifa na kujifanya ni mtumishi wa hicho chombo nyeti. Mwendazake ndiye chanzo cha haya yote.
 
Back
Top Bottom