Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,532
- 1,118
Hawa walikuwa Chawa wa Sabaya, imagine unafungwa jela sababu ya kuwa chawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana nilikuwa naifuatilia japo si sana na hasa nilikuwa nabase kwa Sabaya mwenyeweWamekua wakitajwa sana. Baada ya kesi kuwa popular, vyombo vya habari vikawa vinatumia zaidi jina la Sabaya na kuziweka heading zao "Sabaya na wenzake"
Mkuu, inaonekana interest ya hii kesi kwako imeanza mwishoni. Usijiaibishe zaidi.
Najaribu kuwaza tu: hivi waliopo na walio kuwepo wao si wahusika?Mwendazake ulimuonaje? Sabaya ameshaeleza mbele ya mahakama kwamba alifanya hayo kwa mbeleko ya nafasi ya uteuzi (JPM). Kumbuka Sabaya aliteuliwa ukuu wa wilaya huku akiwa anakabiliwa na kesi ya kugushi kitambulisho cha usalama wa Taifa na kujifanya ni mtumishi wa hicho chombo nyeti. Mwendazake ndiye chanzo cha haya yote.
Hata Siku ya hukumu aliingia kwa tabasamu lote huku akimcheki na mchumba kwa pembeni dah!!!Kesi ya jinai bwana inaanza kama mvua za kiangazi sitaki nataka baada ya hukumu giza totoro linaigia machoni kama vile unaota kumbe kweli, sabaya kuna wakati alikuwa anakuja mahakamani anawasalimia watu kwa bashasha [emoji137][emoji137][emoji137][emoji137] hakuamini kilichotokea tar. 15.10.21.FUNZO: ukipata nafasi yeyote tumika kwa haki na unyenyekevu duniani tunapita
Kanuni za Mungu ni hakika unavuna unachopanda.Kazi ya Mungu inaendelea na Mungu yupo
Jamii inawajua lakiniKwani watu wasiojulikana wana majina
Na ya ubakaji,ya umiliki wa silaha bila kibaliSabaya na silvester nyagu bado, wako na kesi nyingine ya uhujumu uchumi!!
Lawyer smart asingeweza mtetea sabaya.unamtetea vipi mtu mwenye ushahidi wa wazi, ikiwemo cctv.Ila Hawa jamaa wamesombwa na ubaya wa sabaya na lawyers wao walikua very incompetent!
Dah mmoja hapo ni rafiki yangu wa karibu sana, Nina mengi nayofahamu ila Basi tu inauma sana mshkaji kuishia ivi
Turekebishe KATIBA yetu (tupate KATIBA MPYA) ili kusiwe na mtu anayekua juu ya sheria.Najaribu kuwaza tu: hivi waliopo na walio kuwepo wao si wahusika?
Maana kuna kipindi walitajwa mahakani na Sabaya
Unauliza waliopo, kama mwendakuzimu angekuwepo hata haya madudu ya Sabaya usingeyajua.Najaribu kuwaza tu: hivi waliopo na walio kuwepo wao si wahusika?
Maana kuna kipindi walitajwa mahakani na Sabaya
Na kwakua hukua umefuatilia matendo ya Sabaya tangu huko nyuma, utakua uliona kama anaonewa. Lazima umeshangaa hukumu yake.Hapana nilikuwa naifuatilia japo si sana na hasa nilikuwa nabase kwa Sabaya mwenyewe
Kama umeumia sana, mkuu, sabaya kula mvua, liombe bunge pawe na sheria ya kutumikia kifungo kwa niaba ya mtu wingine ili uende kutumikia yeye atoke ndani!!!na kesho nadhani ataonekana na PALA, sio tena lile panki lake la kupalama na kuchumpa!!ila maisha haya.Pole sana mkuu najua inauma japo kuna team itakuja humu kukuponda juu ya jamaa yako.
😭😭😭 bora kuwepo na hiyo sheria ili nikamsaidie Sabaya 😭😭😭.Kama umeumia sana, mkuu, sabaya kula mvua, liombe bunge pawe na sheria ya kutumikia kifungo kwa niaba ya mtu wingine ili uende kutumikia yeye atoke ndani!!!na kesho nadhani ataonekana na PALA, sio tena lile panki lake la kupalama na kuchumpa!!ila maisha haya.