Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Tuendelee kuepuka mikusanyiko sio na lazima kwa kipindi hichi tunachopitia Watanzania wenzangu.
Mimi ni mpenzi sana wa hizi soda, nikipata sehemu ya kupumzisha mwili basi lazima niagize kinywaji cha soda maana Gambe halipandi.
Changamoto ninayokutana nayo ni kwamba siku hizi soda sio tamu kabisa, yaan kuna muda unataman uiyache kabisa sema ndio hivyo utaonekana waring a.
Nimejaribu kunywa soda tofauti tofauti naona changamoto ni ile ile, soda hazina kabisa ladha jamani.
"" HUKO KWA WENZANGU VIPI, AU MDOMO WANGU UMEAMUA KUZIKATAA SODA??? ""
NB:Ugonjw huu sio wa kuchezea tuwe makini ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app