Wenzangu hizi soda siku hizi mnaiyonaje ladha yake

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Tuendelee kuepuka mikusanyiko sio na lazima kwa kipindi hichi tunachopitia Watanzania wenzangu.

Mimi ni mpenzi sana wa hizi soda, nikipata sehemu ya kupumzisha mwili basi lazima niagize kinywaji cha soda maana Gambe halipandi.

Changamoto ninayokutana nayo ni kwamba siku hizi soda sio tamu kabisa, yaan kuna muda unataman uiyache kabisa sema ndio hivyo utaonekana waring a.

Nimejaribu kunywa soda tofauti tofauti naona changamoto ni ile ile, soda hazina kabisa ladha jamani.

"" HUKO KWA WENZANGU VIPI, AU MDOMO WANGU UMEAMUA KUZIKATAA SODA??? ""

NB:Ugonjw huu sio wa kuchezea tuwe makini ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nahisi kama zipo kawaida, ingawa pia nahisi ukishakua mtu mzima inachanigia pia sababu enzi za utoto hata Jus Cola ilikua tamu ila siku hizi huwezi ninywesha....
 
Sasa hiyo sindo sababu ya kuja kwenye vilevi! Wacha kuzubaa wewe kula vitu mchuma unaondoka huu.. dunia tunapita weye Leo koro kesho unajua litakuja linini..??
Shauli yako.
 
Tuendelee kuepuka mikusanyiko sio na lazima kwa kipindi hichi tunachopitia Watanzania wenzangu.

Mimi ni mpenzi sana wa hizi soda, nikipata sehemu ya kupumzisha mwili basi lazima niagize kinywaji cha soda maana Gambe halipandi.

Changamoto ninayokutana nayo ni kwamba siku hizi soda sio tamu kabisa, yaan kuna muda unataman uiyache kabisa sema ndio hivyo utaonekana waring a.

Nimejaribu kunywa soda tofauti tofauti naona changamoto ni ile ile, soda hazina kabisa ladha jamani.

"" HUKO KWA WENZANGU VIPI, AU MDOMO WANGU UMEAMUA KUZIKATAA SODA??? ""

NB:Ugonjw huu sio wa kuchezea tuwe makini ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ombea taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli me ni mpenzi wa coca. Lakini sikuhizi siielewi kabisa, imekuwa haina ladha. Nimebak pepsi tu nako naona imepungua utamu sijui shida nini, au labda ulimi wangu ushazoe konyagi.
 
Soda gani? Mbona Stone Tangawizi tamu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
for sure mm tangu utoto napenda sana fanta orange. lakn sasa sku hz fanta wanaweka sukari nyingi mpaka sio poa. nkaanza kubadilisha brand kila day na sasa nimetua kwa TANGAWIZI rasmi at least ule uchachu mi napenda ila fanta daaah wanaweka sukar nyingi mno na pia nahis kuna mabadiliko ya ingredients au composition yake mana kama una kumbukumbu zile fanta za miaka ya 2003's zilikuwa kwny chupa fulani hv amazing afu tamu balaa(lakn hazikuwa sukar nyingi)

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Wewe hujawahi kunywa mirinda nyeusi jamanii, daaaahh iwe ya bariidii[emoji39][emoji39][emoji39]
tatzo mirinda,pepsi,fanta na nduguze zina sukari nyingi mnooo

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Tuendelee kuepuka mikusanyiko sio na lazima kwa kipindi hichi tunachopitia Watanzania wenzangu.

Mimi ni mpenzi sana wa hizi soda, nikipata sehemu ya kupumzisha mwili basi lazima niagize kinywaji cha soda maana Gambe halipandi.

Changamoto ninayokutana nayo ni kwamba siku hizi soda sio tamu kabisa, yaan kuna muda unataman uiyache kabisa sema ndio hivyo utaonekana waring a.

Nimejaribu kunywa soda tofauti tofauti naona changamoto ni ile ile, soda hazina kabisa ladha jamani.

"" HUKO KWA WENZANGU VIPI, AU MDOMO WANGU UMEAMUA KUZIKATAA SODA??? ""

NB:Ugonjw huu sio wa kuchezea tuwe makini ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga K-vant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli me ni mpenzi wa coca. Lakini sikuhizi siielewi kabisa, imekuwa haina ladha. Nimebak pepsi tu nako naona imepungua utamu sijui shida nini, au labda ulimi wangu ushazoe konyagi.
Jaribu Safari lager ndogo iliyoboreshwa hutajuta.
 
Back
Top Bottom