ikiwezekana jitahd sana kuepuka hz industrial sugarsNdo utamu ulipo sasa jamani
Jamaaaniii jamaani kaka, yo missed [emoji6][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Waooo @dakayo is back [emoji177]
Jr[emoji769]
Nakunywaga mara moja moja saaana jamani, siku metolewa out na babeikiwezekana jitahd sana kuepuka hz industrial sugars
itakusaidia sana
instead jitahd kuconsume natural sugars mfano.miiwa n.k
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Zile nilikuwa napita tu then haziko vizuri kama Fanta Passion.Mo passion umeacha?
kifupi zote mkuuuNaona umeandika uzi kwa haraka sana maana hujasema soda aina gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
maendeleo hayana chamaWewe hujawahi kunywa mirinda nyeusi jamanii, daaaahh iwe ya bariidii[emoji39][emoji39][emoji39]