Wenzangu hizi soda siku hizi mnaiyonaje ladha yake

Wenzangu hizi soda siku hizi mnaiyonaje ladha yake

Ndo utamu ulipo sasa jamani
ikiwezekana jitahd sana kuepuka hz industrial sugars
itakusaidia sana

instead jitahd kuconsume natural sugars mfano.miiwa n.k

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
ikiwezekana jitahd sana kuepuka hz industrial sugars
itakusaidia sana

instead jitahd kuconsume natural sugars mfano.miiwa n.k

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Nakunywaga mara moja moja saaana jamani, siku metolewa out na babe
 
Fanta pineapple ya baridi iko poa Ila coca ni Kama maji ya kisimani wamekorogea sukari
 
Wanatengeneza kwa kubahatisha.. Wakati mwingine wanaipatia formula ila most cases wanaikosea.. Hii inawahusu wote.. Pepsi na Coca.
 
Back
Top Bottom