Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka
Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot
Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted
Chakula kwake kununua ni changamoto Hadi anavizia muda wako wa kula naye anakuja na si kwamba ni mara Moja ameifanya kuwa daily routine yake
Na iwapo ukienda wewe kuomba msaada kwake atahitaji mchangiane gharama au utoe chochote kitu
Watu wenye tabia kama hizi mnaishi nao vipi na ikilinganishwa kuwa wote ni wafanyakazi na mnapata maslahi sawa au pengine yy anakuzidi wewe