Wenzangu huwa mnaishi vipi na watu wabahili?

Wenzangu huwa mnaishi vipi na watu wabahili?

Wakati mwingine jifunze kusema hapana.
Sio kukubali kila anacho kwambia!
 
Ukiwa mtoaji utaombwa tu.

Duniani unafki ni mwingi si ajabu bando analo ila basi tu kajiendekeza, ishi nao kama wao walivyo wao hawana na wewe huna.
 
Back
Top Bottom