Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Sifa za vibamia.
Wamekuona dhaifu ndiyo maana wanakuonea.Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka
Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot
Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted
Chakula kwake kununua ni changamoto Hadi anavizia muda wako wa kula naye anakuja na si kwamba ni mara Moja ameifanya kuwa daily routine yake
Na iwapo ukienda wewe kuomba msaada kwake atahitaji mchangiane gharama au utoe chochote kitu
Watu wenye tabia kama hizi mnaishi nao vipi na ikilinganishwa kuwa wote ni wafanyakazi na mnapata maslahi sawa au pengine yy anakuzidi wewe
Umewaambia kwamba wao ni wabahili na wewe hupendi hizo tabia?Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka
Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot
Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted
Chakula kwake kununua ni changamoto Hadi anavizia muda wako wa kula naye anakuja na si kwamba ni mara Moja ameifanya kuwa daily routine yake
Na iwapo ukienda wewe kuomba msaada kwake atahitaji mchangiane gharama au utoe chochote kitu
Watu wenye tabia kama hizi mnaishi nao vipi na ikilinganishwa kuwa wote ni wafanyakazi na mnapata maslahi sawa au pengine yy anakuzidi wewe
Au ateme mate tumchape.Kamsemee kwa babaake
Huenda hawalipwiInabidi tuanze kwanza na hiyo ofisi yenu kuifatilia...
Na baada ya Muda utamuona ana nunua gari au anajenga nyumba harafu wewe hata kiwanja huna.Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka
Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot
Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted
Chakula kwake kununua ni changamoto Hadi anavizia muda wako wa kula naye anakuja na si kwamba ni mara Moja ameifanya kuwa daily routine yake
Na iwapo ukienda wewe kuomba msaada kwake atahitaji mchangiane gharama au utoe chochote kitu
Watu wenye tabia kama hizi mnaishi nao vipi na ikilinganishwa kuwa wote ni wafanyakazi na mnapata maslahi sawa au pengine yy anakuzidi wewe
HHahaWamekuona dhaifu ndiyo maana wanakuonea.
Hebu angalia hao watu kama wanafanya tabia hizo wakiwa na watu wengine.
Wamang'ati wanasema "punda anayekubali kupapaswa nyeti yake ndiye atiwaye kidole".
min -me
Kaamua kukimbilia humu jamvini halafu wahusika hajawaambiaUmewaambia kwamba wao ni wabahili na wewe hupendi hizo tabia?