Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
kuna dogo alikuwa anahiyo tabia anafungulia bufa keleletu, nikaongea nae akawa anaendelea tu na makelele yake, basi hakujua mimi nina sony home theater namcheki tu anavyoleta dharau.Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho
Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda
kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui ananichukuliaje
Tushaitisha kikao mara kadhaa hadi kumshirikisha mwenye nyumba na akaahidi atajirekebisha
Kweli akapunguza lakini naona ameanza tena kujisahau
Sasa kitu nachofikiria kumfanya naziona kabisa dalili za kugawana majengo ya serikali
Kabla sijaamua kitu nachofikiria naombeni kwanza mniambie
Je, ni sahihi kwa mtu kupiga mziki hadi saa nne usiku kwa kigezo kuwa analipia hela
Na je mtu kama huyu wewe kama wewe una dili nae vp
Kwa kuwa ni mwanajf mwenzetu me najitolea kumuazia speaker kubwa mbili mwezi huu wa tisa na wa kumi woteJino kwa jino. Kodi spika moja kubwa ,yeye akizima wewe washa na weka matangazo ya sumu ya panya au Kodi Generator la sauti kubwa akizima wewe washa, akirudia huyo ni kichaa hivyo inabidi uhame tu.
Wote mmepanga au mmejenga Nyumba zinatazamana? Kama umepanga, mkuu, hama. Pesa Yako isikute
Wote mmepanga au mmejenga Nyumba zinatazamana? Kama umepanga, mkuu, hama. Pesa Yako isikutese.
Nimepanga mkuuWote mmepanga au mmejenga Nyumba zinatazamana? Kama umepanga, mkuu, hama. Pesa Yako isikutese.
Sisi wengine hatupendi mashindanoNasisi tunafungua hadi mwisho.
Hakuna njia nyingine tofauti na mashindanoUnazijua spika za fidek?? Kodi 4
Kama ulimwambia na bado anaendelea achana naye tu kaaSalam wakuu . moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho
Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda
kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui ananichukuliaje
Tushaitisha kikao mara kadhaa hadi kumshirikisha mwenye nyumba na akaahidi atajirekebisha
Kweli akapunguza lakini naona ameanza tena kujisahau
Sasa kitu nachofikiria kumfanya naziona kabisa dalili za kugawana majengo ya serikali
Kabla sijaamua kitu nachofikiria naombeni kwanza mniambie
Je, ni sahihi kwa mtu kupiga mziki hadi saa nne usiku kwa kigezo kuwa analipia hela
Na je mtu kama huyu wewe kama wewe una dili nae vp
Hapa nilipo tupo wapangaji nane sasa kama tukisema wote tushindane kwa kufungulia sauti hadi mwisho wote si tutaonekana vichaakuna dogo alikuwa anahiyo tabia anafungulia bufa keleletu, nikaongea nae akawa anaendelea tu na makelele yake, basi hakujua mimi nina sony home theater namcheki tu anavyoleta dharau.
kuna siku akafungulia na mimi nikamuwashia ebanaee mziki wake ukamezwa ukawa hausikiki nikaona amezima bila hata ya kumwambia tena, na toka siku hiyo hakuwahi kupiga muziki sauti ya juu
shukranNyumba kama ni ya kupanga isikupelekeshe ww hama muachie ushindi
Kwenye maisha ukiona unamuonya mtu aache tabia fulani na haachi muelewe
Kuna watu hawana furaha nyingine zaidi ya ile mnayoiona ninyi
Hakuna haja ya kugawana majengoSalam wakuu . moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho
Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda
kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui ananichukuliaje
Tushaitisha kikao mara kadhaa hadi kumshirikisha mwenye nyumba na akaahidi atajirekebisha
Kweli akapunguza lakini naona ameanza tena kujisahau
Sasa kitu nachofikiria kumfanya naziona kabisa dalili za kugawana majengo ya serikali
Kabla sijaamua kitu nachofikiria naombeni kwanza mniambie
Je, ni sahihi kwa mtu kupiga mziki hadi saa nne usiku kwa kigezo kuwa analipia hela
Na je mtu kama huyu wewe kama wewe una dili nae vp
Hahahaa. Hii itakuwa kubwa kuliko.Jino kwa jino. Kodi spika moja kubwa ,yeye akizima wewe washa na weka matangazo ya sumu ya panya au Kodi Generator la sauti kubwa akizima wewe washa, akirudia huyo ni kichaa hivyo inabidi uhame tu.