Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,148
- 6,060
ni siku moja tu tena mda mchache ndio mtaonekana vichaa, hii njia itafanya kazi kama wewe una mziki mnene kuliko huyo anayesumbuaHapa nilipo tupo wapangaji nane sasa kama tukisema wote tushindane kwa kufungulia sauti hadi mwisho wote si tutaonekana vichaa
Hapakufai hapo. Kodi ikiisha hama, hela yako isikutese. Mkataba niliowapa wapangaji wangu ni marufuku kuwa kero kwa wapangaji wengine au majirani. Nikiletewa taarifa ya mpangaji wa aina hio mkataba wake ukiisha naachana nae.Hapa nilipo tupo wapangaji nane sasa kama tukisema wote tushindane kwa kufungulia sauti hadi mwisho wote si tutaonekana vichaa
Ataambiwa anapangia watu maisha. Akubali kuwa kapanga na jitu la ovyo nasubiri kodi ikate a chore tuIla ukifuatilia wengi wanakuwa na ugeni na hivyo vitu.
Mpuuze ukishindwa we hama zako.
Basi mkuu pambana na hali.Sisi wengine hatupendi mashindano
Mpaka hapo watakua wamegawana majengo, mmoja kwa mwenye nyumba mwingine kwa jirani. Na uwe na Roho kwelikweliHakuna haja ya kugawana majengo
Fanya hivi
Kanunue pilipili ya unga nusu kilo na mkaa wa buku mbili
Mwache apige mziki wake mpaka achoke.. Akimaliza na kujiandaa kulala wewe washa mkaa uiikolea mwaga pilipili funga chumba chako toka nje
Nilikua napata shida kujua BUFA ni kitu gani, comment yako imenifungua .kuna dogo alikuwa anahiyo tabia anafungulia bufa keleletu, nikaongea nae akawa anaendelea tu na makelele yake, basi hakujua mimi nina sony home theater namcheki tu anavyoleta dharau.
kuna siku akafungulia na mimi nikamuwashia ebanaee mziki wake ukamezwa ukawa hausikiki nikaona amezima bila hata ya kumwambia tena, na toka siku hiyo hakuwahi kupiga muziki sauti ya juu
Bora yako wewe umeelewa ni kitu gan nachoongeleaHuwa tunamuambia punguza sauti, akikaidi tunatoa onyo kali. Hata tv huwa tunawaambia waweke sauti isiyotoka nje ya vyumba vyao. Sie wenyewe tuna sabufa ila tunafungulia sauti ya chini ili tusiwe kero kwa wenzetu
ππππJino kwa jino. Kodi spika moja kubwa ,yeye akizima wewe washa na weka matangazo ya sumu ya panya au Kodi Generator la sauti kubwa akizima wewe washa, akirudia huyo ni kichaa hivyo inabidi uhame tu.