Broski🫡Nawe larecord ile nyimbo mama Amina k......mako unafungulia hadi mwisho alafu unaenda Mikadi Beach kule mpk jioni unaurudi hoi.
Kila mtu ukirudi atakutazama jicho la kwanini lkn wewe jamani
Weee teeena bize na pensi yako unaosha sufuria ya ugali ya jana ili ubandike nyingine na paja la kwa joti chips.
Na vitoto vyao vyooote watavilaza mapema maana kutwa wataimba huo mwimbo.
Ushenzi ushenzi tuuu uswahilini ubabe tuuuu
Kwa vijana hauwezi kukwepa kupiga "SABUFA" kwa sauti ya juu....kama haupendi ni bora ukapange sehemu zilizotulia (Maeneo yalipangwa -yaliyopimwa),ukipanga sehemu za watu wanaojitafuta)Skwataz) lazima masikio yazibuke kwa kelele.Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho
Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda
kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui ananichukuliaje
Tushaitisha kikao mara kadhaa hadi kumshirikisha mwenye nyumba na akaahidi atajirekebisha
Kweli akapunguza lakini naona ameanza tena kujisahau
Sasa kitu nachofikiria kumfanya naziona kabisa dalili za kugawana majengo ya serikali
Kabla sijaamua kitu nachofikiria naombeni kwanza mniambie
Je, ni sahihi kwa mtu kupiga mziki hadi saa nne usiku kwa kigezo kuwa analipia hela
Na je mtu kama huyu wewe kama wewe una dili nae vp
Veepeee kuniiifanyiiia saluuuteee bru!!!! MmmhBroski🫡
Kuna jamaa alifanya hiyo, harafu akafunga chumba akiacha ikipiga sauti kubwa usiku wote, akarudi asubuhi kama saa 3 hivi....Ndiyo ikawa mwisho.Jino kwa jino. Kodi spika moja kubwa ,yeye akizima wewe washa na weka matangazo ya sumu ya panya au Kodi Generator la sauti kubwa akizima wewe washa, akirudia huyo ni kichaa hivyo inabidi uhame tu.
Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake, kanunue kubwa kuliko lake na wewe fungulia, tena weka nyimbo tofauti na anazozipenda yeye.Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho
Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda
kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui ananichukuliaje
Tushaitisha kikao mara kadhaa hadi kumshirikisha mwenye nyumba na akaahidi atajirekebisha
Kweli akapunguza lakini naona ameanza tena kujisahau
Sasa kitu nachofikiria kumfanya naziona kabisa dalili za kugawana majengo ya serikali
Kabla sijaamua kitu nachofikiria naombeni kwanza mniambie
Je, ni sahihi kwa mtu kupiga mziki hadi saa nne usiku kwa kigezo kuwa analipia hela
Na je mtu kama huyu wewe kama wewe una dili nae vp
Kumbe we si wa mchezo mchezo broo🫢Veepeee kuniiifanyiiia saluuuteee bru!!!! Mmmh
Kidogo tuu usiogopeKumbe we si wa mchezo mchezo broo🫢
Unatunyooshea majirani wasiosikia😎Kidogo tuu usiogope
Uswazi kuna shule isoyo na lecture.Unatunyooshea majirani wasiosikia😎
Unampa kubwa kuliko😆Uswazi kuna shule isoyo na lecture.
Si unaujua huo mwimbo una neno kubwa kuliko.Unampa kubwa kuliko😆
Ni upi huo? HahhahahaaSi unaujua huo mwimbo una neno kubwa kuliko.
Kwa mara ya kwanza niliusikia ule mwimbo pale banana kwa nyuma kulikuwa na club ilibamba sana zama zile.
Nilitoa macho alafu yule mwenzangu akasema umeona kupenda kwako music maneno hayo. Nikamwambia kwani nimeimba miye.
Mamaaa aminaaa original versions.Ni upi huo? Hahhahahaa