Wenzangu mnaotumia unlimited internet huwa mnatumia net kwenye nini hadi kuvuka matumizi ya GB 1000 (1 TB) mpaka mnaanza kulalamika kupunguzwa speed

Wenzangu mnaotumia unlimited internet huwa mnatumia net kwenye nini hadi kuvuka matumizi ya GB 1000 (1 TB) mpaka mnaanza kulalamika kupunguzwa speed

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani

Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k.

wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine wanaotumia binafsi vp ?

hizo tb mnafikiaje ?
 
Kudownload na ku upload. Mfano mtu anafanya kazi za video production. Anaweza tumiwa files zenye GB 100+ kila siku aweze kudownload na kuzifanyia kazi. Kama unavyojua video ukishoot kwa 4k inavyokulq storage. Hivo project moja inaweza kuwa hata na GB 100+, GB 500+ au hata TB kadhaa
 
hao wanaotumia kwenye shughuli zao inaeleweka, ishu ni hawa wanaotumia kwa matumizi binafsi tu
 
Utaratibu wa kupata hiyo unlimited ya TTCL upo vipi?
hakikisha nguzo zao zipo karibu na unapoishi

nenda ttcl kwa wale mafundi wanaotembelea gari / bajaji za njano, usiende mapokezi sutaambiwa ujaze fomu utasubiri sana.

ufundi ni bure ila jinsi mambo yalivyo hapa bongo andaa hata kalaki uwape motisha mafundi

vifaa ni bure kabisa japo usishangae ukiambiwa ulipie, andaa laki ya ziada

vifurushi vinaanzia elf 50 kwa mwezi
 
YouTube ukiweka 4K video, inakula 110 MB/min.

Ukiangalia kwa masaa 5 kwa siku ni dakika 300 ambazo ni sawa na MB 33,000

Bado kudownload, kuhotspot majirani, Pornhub 4K etc.

Kutumia kwa siku GB 50 ni possible.

So mara 30 hapo ni 1500 MB aka 1.5 TB
 
hakikisha nguzo zao zipo karibu na unapoishi

nenda ttcl kwa wale mafundi wanaotembelea gari / bajaji za njano, usiende mapokezi sutaambiwa ujaze fomu utasubiri sana.

ufundi ni bure ila jinsi mambo yalivyo hapa bongo andaa hata kalaki uwape motisha mafundi

vifaa ni bure kabisa japo usishangae ukiambiwa ulipie, andaa laki ya ziada

vifurushi vinaanzia elf 50 kwa mwezi
Microsoft flight simulator ni GB 200 hivi nafikiri, update moja ya gemu unakuta ni GB 30 minimum, movies kama una angalia sana series za kizungu kipande kimoja 1080 kinatembea mpaka 1.2GB kwanini isifike mkuu.
Kumbuka anayeunga hizo ni heavy users tu, wa kawaida hata GB kwa siku hamalizi.
 
Mfano mimi sina unlimited ila saivi nko GB almost 70, piga mahesabu ukinipa Unlimited na mwezi huu sijadownload movie hata moja.
 
Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani

Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k.

wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine wanaotumia binafsi vp ?

hizo tb mnafikiaje ?
Streaming tu inaweza Maliza fasta hio 1TB, unakuta watoto Nyumbani wanaangalia Katuni ama video za watoto YouTube, kwa siku inaisha hadi 100GB ama zaidi kwa 4K.
 
Mkuu kwa mfano mtu binafsi tu kaunga nyumbani kwake

House girl au kijana wa kazi na watoto wakiwa wana stream 4k videos youtube kwenye Tv halafu ukiunga majirani kadhaa na hotspots na wao waka stream na kudownload movies/series inakwisha kabla mwezi haujakwisha

Kuna jamaa mtaani ameunga hii kitu, anatoza buku mbili unakuunga na WIFI unadownload movie au chochote utachacho kwa siku nzima ukiwa jirani
 
Back
Top Bottom