Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Aise basi mimi situmii Internet. Nawaambia jamaa zangu mimi kwa mwezi bajeti yangu haizidi 30000 wanashangaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1500 GB (siyo MB)So mara 30 hapo ni 1500 MB aka 1.5 TB
Voda, Tigo, Airtel wana unlimited, Nasikia na Halotel pia japo tetesi zaidiUkiachana na hizi Fiber, mtandao gani wanatoa huduma ya Internet Unlimited kwa mwezi?
Anh vipi bei zake zipoje? Au ndio hadi uwe na router zao?Voda, Tigo, Airtel wana unlimited, Nasikia na Halotel pia japo tetesi zaidi
Hadi uwe na router, japo kuna mdau humu kasema Anatumia ya Tigo bila router, sijajua ina ukweli gani.Anh vipi bei zake zipoje? Au ndio hadi uwe na router zao?
Mimi ukichanganya na muda wa maongezi na sms inaweza fika elfu 40 kwa mweziAise basi mimi situmii Internet. Nawaambia jamaa zangu mimi kwa mwezi bajeti yangu haizidi 30000 wanashangaa.
Kwanini usiweke postpaid? Hasa kama una matumizi mengi ya dakika.Mimi ukichanganya na muda wa maongezi na sms inaweza fika elfu 40 kwa mwezi
Na mimi nasubiri majibu maan nimenunua hapa tablet yangu storage pekee Ina 1TB ram 16GB yani nashindwa hata Cha kulijaza, ukizingatia hiyo speed.Ukiachana na hizi Fiber, mtandao gani wanatoa huduma ya Internet Unlimited kwa mwezi?