ttcl fiber nyaya za nguzo kuanzia elf 50, voda supakas kuanzia 120,000Hivi TB moja ni sh ngapi mmmmmmmae??
bado nyingi sana labda kwa matumizi binafs, labda uwe na libraryWanadownload movie.
Streaming, kazi za cloud based,Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani
Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k.
hizo tb mnafikiaje ?
hao wanaotumia kwenye shughuli zao inaeleweka, ishu ni hawa wanaotumia kwa matumizi binafsi tuKudownload na ku upload. Mfano mtu anafanya kazi za video production. Anaweza tumiwa files zenye GB 100+ kila siku aweze kudownload na kuzifanyia kazi. Kama unavyojua video ukishoot kwa 4k inavyokulq storage. Hivo project moja inaweza kuwa hata na GB 100+, GB 500+ au hata TB kadhaa
karibu kwenye ulimwengu wa unlimited, unatumia net bila mawazo, video calls, streaming hd, kucheki mpira hd, kudownload mafile makubwa, n.k.Mimi natumia 1GB wiki nzima mpaka lina expire hizo, 1TB Naweza fika nazo mpaka mbinguni nafikiri
hakikisha nguzo zao zipo karibu na unapoishiUtaratibu wa kupata hiyo unlimited ya TTCL upo vipi?
Microsoft flight simulator ni GB 200 hivi nafikiri, update moja ya gemu unakuta ni GB 30 minimum, movies kama una angalia sana series za kizungu kipande kimoja 1080 kinatembea mpaka 1.2GB kwanini isifike mkuu.hakikisha nguzo zao zipo karibu na unapoishi
nenda ttcl kwa wale mafundi wanaotembelea gari / bajaji za njano, usiende mapokezi sutaambiwa ujaze fomu utasubiri sana.
ufundi ni bure ila jinsi mambo yalivyo hapa bongo andaa hata kalaki uwape motisha mafundi
vifaa ni bure kabisa japo usishangae ukiambiwa ulipie, andaa laki ya ziada
vifurushi vinaanzia elf 50 kwa mwezi
Streaming tu inaweza Maliza fasta hio 1TB, unakuta watoto Nyumbani wanaangalia Katuni ama video za watoto YouTube, kwa siku inaisha hadi 100GB ama zaidi kwa 4K.Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani
Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k.
wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine wanaotumia binafsi vp ?
hizo tb mnafikiaje ?