Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

Utakula kitimoto?
 
Bora umesema ata wakikuua ujumbe ulishafika..! Binafsi mkristo na ukristo unahimiza kuwapenda watu wote, na zaidi maadui yaani wasio watu wako wa karibu ili kufanya kitu cha ziada na kujipatia Rehema na Neema za Bwana, ila sasa wakristo wengi tumebaki wakristo wa ibada za kanisani na tumesahau kuwa ata kufanya matendo ya huruma ni ibada.

Hatupendani tena, hatuarikani tena, hatugawani tena zaidi ya kumtaja Kristo aliye nje ya mioyo yetu.
 
Kumbe wanajialika wenyewe.
Unasubiri anayejialika akualike.
Haya subiri kadi.
 
Mkuu wewe wa wapi? Hii dini hairuhusu tabia kama yako, mbona huwa tunatoa mkono wa kulia wa kushoto haujui inakuwaje kwako? Chakula cha Idd bado unakikumbuka! ghhaaaa Unatia aibu.
 
Uliyemkaribisha leo kakutolea nje,mpotezee tu.
 
Meseji senti endi delivadi...!
Ni ujumbe Mubashara mleta Uzi..[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji489] [emoji489] [emoji125] [emoji125]
Achana na huyo mkuu, karibuni sana, hatuko hivyo na wote wanajua huyu jamaa ana lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…