Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakula kitimoto?Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Wamemchunia ndio sababu ya povuKwani majirani hauna Mkuu?
Kumbe wanajialika wenyewe.Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Sawa mkuu umekula lakini?Jifunze Kiswahili ujue ndipo unipe ushauri.
Ahahahahahah....[emoji3] [emoji3] [emoji3] manake sio kwa povu hilo.....[emoji108]Mkuu kama huna grisii sema usaidiwe usipeleke vyuma kwenye dini
Mkuu wewe wa wapi? Hii dini hairuhusu tabia kama yako, mbona huwa tunatoa mkono wa kulia wa kushoto haujui inakuwaje kwako? Chakula cha Idd bado unakikumbuka! ghhaaaa Unatia aibu.Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Achana na huyo mkuu, karibuni sana, hatuko hivyo na wote wanajua huyu jamaa ana lakeMeseji senti endi delivadi...!
Ni ujumbe Mubashara mleta Uzi..[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji489] [emoji489] [emoji125] [emoji125]
nichomeniKwa hivyo tukukaange au tukuchemshe?
Huyu ni msabato wewe hujamshtukia tu, hoja yake kaitegesha kwenye sikukuu ya x-mass hana la ziadaMjumbe anayo hoja.Asikilizwe kwa utaratibu,asielekezewe bunduki.